msaada wa matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  2. S

    Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli Kwanini Polepole hakumshauri...
  3. Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu, amuomba tena Msaada huo

    Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa mwananchi wa kata yake Emmanuel Bhoke Jackson baada ya kufanikisha huduma za awali katika hospitali ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza. kutokana na...
  4. P

    Msaada wa matibabu

    Mwenye ufahamu wa dawa ya mitishimba kama tiba ya maumivu chini ya mgongo.
  5. B

    DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Nawasalimu ndugu zangu. Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake. Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi tuzizochanga familia yetu ni duni sana zimeisha kwenye vipimo, sasa tangu Ijumaa amegundulika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…