msaada wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mijadala Migumu

    Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  2. R

    Naomba msaada wa kazi

    Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
  3. kancher

    Nahitaji Msaada wa Kazi – Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    Habari wakuu! Pooleni na majukumu ya kazi, bila kupoteza muda ningependa kuandika ujumbe wangu moja kwa moja. Ninapitia changamoto kubwa ya kipato kwa sasa, huku nikiwa na familia inayonitegemea ya mke na mtoto mmoja. Najua maisha ni kupambana, na ndiyo maana najitokeza kwa unyenyekevu kuomba...
  4. hungary

    Naombeni kazi. Elimu diploma ya clinical medicine

    Husika na heading hapo juu Elimu diploma ya clinical medicine GPA ya 5.0 Kazi anazo weza kufanya 1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically 2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza kufundisha . Patient care . Reproductive and chilid health RCH . Biology ...
  5. H

    Msaada wa kazi wakuu

    Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa Kijana Miaka 21 Me Elimu kidato cha sita Eneo Dar Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu
Back
Top Bottom