MRI ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeharibika, hakuna huduma, mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.
Hali ndiyo hiyo.
=============
MOI WAKIRI NI KWELI, WATOA UFAFANUZI
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface “Ni kweli, mashine...