Samia hasubiri kuapishwa, tayari kaanza kutekeleza ilani, mpaka 2030 hii nchi itakuwa ulaya ndogo.
Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), inatarajia kupokea shehena ya mabasi 99 ya mfumo wa mabasi yaendayo haraka (BRT) kutoka kwa mtengenezaji, kampuni ya Golden Dragon, kabla...