mradi wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbeya: Mradi wa maji uliogharimu Bilioni 5.2 wakamilika Mbarali. Haya ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Wakuu, Naona miradi inaendelea kukamilika kwa kasi ya ajabu kabla ya Uchaguzi Mkuu. CCM theatrics zenu tunazijua ========================================== Mradi wa maji Luduga-Mawindi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya awamu ya nne umetekelezwa kwa kutumia Mkandarasi GNMS CONSTRUCTIONS LTD...
  2. L

    Familia nchini Tanzania zanufaika na mradi wa maji uliojengwa na China

    China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Kutokana na nafasi yake hiyo, China imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira ya nchi husika, huku ikishiriki...
  3. PreGE2025 Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2

    Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Maji ( NWF) imekamilisha kwa asilimia 100 mradi wa maji wa Ruduga Mawindi uliopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa gharama ya shilingi bilioni 5.2. Kwa sasa mradi huo unahudumia vijiji sita ambavyo awali wananchi wake walikuwa wanatumia maji ya mto Ruaha...
  4. PreGE2025 DC Makete azindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 416

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Gwakisa Kasongwa amezindua mradi wa maji uliopo chini ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) katika kijiji cha Ipepo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 416. Kasongwa amezindua mradi huo Machi 25, 2025 katika kijiji hicho na...
  5. PreGE2025 Serikali yakamilisha ujenzi mradi wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Bilioni 1 Simiyu

    Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...
  6. PreGE2025 Serikali yasema Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa (Tsh. Bilioni 119.9) utawanufaisha Wakazi 219,309

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa, Kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Mwajuma Waziri, kwa niaba ya Serikali na Meneja Mradi...
  7. PreGE2025 Tanga: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kwatango wenye thamani ya shilingi milioni 679. Akizindua mradi huo kwenye uwanja wa Kijiji cha Kwatango kilichopo kata ya Kwemingoji wilayani Muheza, MwanaFA alisema...
  8. Watu watatu wakamatwa kwa wizi wa miundombinu ya mradi wa maji Nzega

    Vyombo vya dola wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora vinawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya mradi wa maji ikiwemo mabomba ya maji, katika mradi wa maji unaotekelezwa Kata ya Sigili wilaya ya Nzega, mkoani Tabora hali inayosababisha kusuasua kwa mradi huo. Taarifa ya wizi wa...
  9. PreGE2025 Aweso: Mkandarasi mradi wa Maji Tunduma - Vwawa nataka ukamilike kwa wakati "ukizingua nami nakuzingua"

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza kuwa akimzingua naye atamzingua. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  10. PreGE2025 Waziri Aweso: Aitaka DAWASA kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu, na kuhakikisha hakuna mianya yoyote ya rushwa itakayojitokeza kwani kuunganishiwa maji ni haki...
  11. PreGE2025 Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8 Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
  12. PreGE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  13. PreGE2025 LGE2024 Aliyehamia CCM akitokea CHADEMA aula kisa mradi wa maji Mwanga

    Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani...
  14. Matukio yanayonipa maswali baada ya kuona mkesha wa kumsubiri mama Samia kuzindua mradi wa maji Mwanga

    Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana. Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA...
  15. Rais Samia anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga, Same, Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300

    Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa wilaya ya Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro Akizungumza March 4,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bi...
  16. PreGE2025 Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima

    Naibu waziri wa Maji, Kundo Andrew Mathew amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa katika ziara hiyo Naibu Waziri wa Maji pia ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Mkangale na amekagua mradi wa maji mtaa wa Isunta akiridhishwa na utekelezaji wake...
  17. PreGE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA

    Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni 787 unalenga kuhudumia wananchi zaidi ya 10,500 walioko kwenye Kata ya Marangu Mashariki...
  18. PreGE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  19. PreGE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa

    Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
  20. Tanzania na Hungary kushirikiana kujenga mradi wa maji Biharamulo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…