mpina kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Monalisa Ndala, afurahishwa na uamuzi wa Msajili kuwa uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria na hivyo hastahili kuwa Mgombea Urais

    Mtakumbuka kuwa mimi Monalisa Joseph Ndala niliwasilisha malalamiko Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikionesha dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama chetu cha ACT-Wazalendo. Ninafuraha kuwaarifu kuwa baada...
  2. Just Pray

    GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo anapinga Mpina Kugombea Urais, ahoji 'Kwanini anavaa T-shirt yenye picha ya Magufuli?

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
  3. Just Pray

    GE2025 Sakata la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo latua mezani kwa msajili, watakiwa kutoa maelezo

    Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025. Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es...
  4. Just Pray

    GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  5. U

    GE2025 Je ACT - WAZALENDO wamekiuka Katiba yao kumruhusu Luhaga Mpina kugombea Urais akiwa na Uanachama ndani ya CHAMA pungufu ya miezi 6?

    Naona Msajili kapewa kazi laini sana mezani mwake labda kama nimesoma na sijaelewa vema ibara zihusuzo mchakato husika ndani ya ACT- Wazalendo
  6. B

    GE2025 ACT mmeshindwa hata kuvunga kuwa nyie sio CCM B? Eti Mpina kama mgombea Urais! Watu sio wajinga bana!

    Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa; "Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona...
  7. Waufukweni

    GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

    Mkuu Maalum wa chama cha ACT Wazalendo kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kwa kupata kura 559 sawa na asilimia 92.3 ya kura 610 zilizopigwa. Aidha aliyekuwa akigombea naye nafasi hiyo, Aaron Kalikawe Aaron amepata kura 46 sawa na asilimia 7.7 ya kura...
Back
Top Bottom