mpigania haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Katuga na Mawakili wenzake wa Serikali waombe darasa la kufundishwa Sheria na Bingwa wa Sheria na mpigania haki wa pekee Tundu Lissu

    Kesi bandia ya uhaini dhidi ya Tundu Lisu imezidi kuweka wazi unafiki, ushetani na ujinga wa mawakili wa Serikali, jeshi la polisi na wale wendawazimu waandaaji wa kesi za mchongo. Tumeshuhudia jinsi mashahidi polisi wakidhalilika mbele ya mahakama wanapobanwa na Mtaalam wa sheria Tundu Lisu...
  2. Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

    Highly spirited Tundu Lissu like Nelson Mandela
  3. Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  4. Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

    Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!
  5. Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

    Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania. Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…