Leo mishale ya saa 7 mchana nimeona kundi kubwa la akina mama hapa Bonyokwa wakiwa wanazingira kwenye ukumbi wa Masia, katika kufuatilia zaidi kumbe mgombea ubunge jimbo la Segerea, bibie Bonnah Kamoli alikuwa amewaita ili kuungwa mkono kwa kuwapa elfu 5 na zawadi nyingine ndogondogo
Wakati...
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa...
Pamoja na ukweli kuwa uchaguzi huu ni wa Rais, Wabunge na Madiwani ila ni ukweli usiokificho uchaguzi huu umehamia kwa Dr Magufuli Vs T. Lissu, umerudi kwa Maalim Sief VS Dr Mwinyi.
Kwa kuzingatia hayo na kwa muono wangu hizi ni tofauti saba zinazomtofautisha mpiga kura huyu wa keshokutwa na...
Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura.
Wito wangu Ni hivi,
Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani.
Nendeni mkapige kura
Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu Akwilina. Unapoingia chumba Cha mpiga kura Mkumbuke Marehemu Akwilina msichana Mrembo aliekufa kwa...
NIMEKUA mfuatiliaji wa matukio na mijada mbalimbali ya Uchaguzi katika kipindi hiki ambacho Taifa la Tanzania linakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi huo unataraji kufanyika Oktoba 28, 2020...