mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amepoteza mvuto

    Heshima kwenu washikadau Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi. Yani huwa haipiti siku bila...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah. Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Ndugu zangu naomba ushauri Mimi ni kijana ambaye nina miaka 23 naishi Canada. Kuna kipindi nilikutana na dada fulani FB huyo dada tuliwai kusoma wote shule kabla sijaenda Canada. Sasa tulivyo kutana na huyo mwanamke ilikuwa 2019 tukaanza mahusiano naye tukapendana sana akanipenda sana na mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Roho inaniuma mpenzi wangu anataka tuachane kwa sababu hayaelewi maisha yangu

    Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na tumezungumza . Katika mazungumzo aliniambia kiustarabu anaona bora tuachane au tuvunje uhusiano kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana tatizo alikua na mashine kubwa

    Habari za mchana. Naomba niende kwenye mada, niliwai kua na bf flani ivi ni bodaboda nilimpenda sana kipindi hicho japo yeye alikua ni mtu Wa kuchukulia poa kitu kinachoitwa mausiano. Kwa Mara yakwanza kwenda geto kwake kiukweli nilitamani kukimbia ila nilijikaza. Yaani akichomoa kidogo tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Inasemekana mpenzi wangu alishawahi kuwa na mahusiano na ndugu zangu!

    Na-Paste Text yake... Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu. Mimi ni msichana na Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa. Nilifahamiana naye nikiwa form six na kuanzia wakati huo tukawa wapenzi. Ananipenda sana kuanzia mwanzo had sasa, sijawahi kumkuta hata na text ya binti yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…