mpenzi mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Kuna wazazi wajinga: Ulikimbia mtoto, Leo mtoto anaishi kwa furaha na mpenzi mpya wa mzazi mwenzio, unaanza kupiga yowe na kuleta vurugu

    Na hii haichagyui jinsia, ni kwa kina baba wanaokimbia watoto na kina mama wanaoacha watoto kwa baba zao, Mmepata mtoto, halafu anakukimbia. Anakuacha na mtoto, mwingine hadi anamkana. Anajifanya hayupo, hafanyi chochote. Halafu miaka inapita, unajikaza, unalea mtoto kama single father au...
  2. Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

    Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea. Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf. Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi. Tajiri Sina BAYA Machache kuhusu mimi. 1. Nina hela. 2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi. 3. Nina hela. 4, 5, 6, 7, 8...
  3. X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

    Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
  4. Nimepata mpenzi mpya, nampatia pesa anaikataa, hivi ananipenda kweli?

    Natumai mko salama, Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na binti ambaye kutokana na maono ya pendo langu, nahisi nimepata wa kuendana nae. Siku ya Jumapili jioni nilimuomba tukutane somewhere. Tulijuliana hali, nikatoa kiasi cha Tsh.70 kwa ajili ya matumizi binafsi ya siku mbili tatu pamoja...
  5. M

    Majaribu tumeumbiwa wanadamu

    Habari Wana wa JF... Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo ya kisheria yaache tu Sheria uchukue mkondo wake. Ipo hivi baada ya kutengana na X wangu nikapata...
  6. Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…