Salam wana jamvi,
Hoja yangu ya msingi ni hii, kama vile inavyokuwa madalali wa magari au vitu vingine unakuta mwenye mali anakubaliana na dalali kuhusu malipo yake baada ya kazi.
Lakini kwa upande wa nyumba za kupanga ni tofauti, mpangaji ndiye anaumia zaidi. Utakuta nyumba inapangishwa laki...