Nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salamu nikimaliza kuandika uzi.
Sasa......
Huyu piss ni mpangaji mwenzangu, kila jumapili yeye anakuaga mapumziko na haendi kazini.
Kilicho nikwaza ni kila anapokua mapumziko anaanika chupi zake kwenye kamba yote hasi inajaa, yaani sijui hua anavaa...