Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalim amefunga ndoa na kada wa chama hicho Moza Ally. Taarifa kutoka chanzo kinachoaminika kimetueleza kuwa Salum na Moza walifunga ndoa Ijumaa ya Februari 13, 2026 japokuwa picha zimeachiwa leo mtandaoni.
Kupitia ukurasa wake wa...
Baada ya chama imara kusisia uchaguzi basi kina Thobias Mwesigwa waridhani wanaweza wanunua viongozi wa Chadema na wakapata nguvu ya umma.
Wakawekeza fedha CHAUMMA na kuwanunua kina Yerrico Nyerere ,John Mrema, Kigaila na Salum Mwalimu.
Basi timu iyo iliwashawishi Wana mama wa Bawacha Kwa...
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally amesema akichaguliwa na wananchi wa jimbo hilo akaenda bungeni atakuwa mbunge mwenye kuwasemea wananchi wake kwa kujenga hoja badala ya kuwa mbunge wa kukubali kila kitu.
Moza ameyasema hayo leo Oktoba...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa.
Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na...
"hii inawezekanaje? tunalipa kodi ya serikali kila kitu unachokwenda kununua unalipa asilimia 18% hatuna sababu wanawake kulipia magharama ya kujifungua hospitali" amesema Moza.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala.
Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana uhakika wa kushinda nafasi hiyo iwapo Chama chake kitampatia ridhaa ya kugombea.
"CHAUMMA kikinipa...