morogoro kusini mashariki

Morogoro Urban District (Swahili: Wilaya ya Morogoro Mjini) is one of the six districts of the Morogoro Region of Tanzania. It contains the city Morogoro, capital of the Morogoro Region, and no villages. Morogoro Urban District covers 260 square kilometres (100 sq mi). It is bordered to the east and south by the Morogoro Rural District and to the north and west by Mvomero District
As of 2012, the population of the Morogoro Urban District was 315,866.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    GE2025 Babu Tale sina mpinzani jimboni Morogoro Kusini Mashariki, ndio maana nimeshinda kwa asilimia 91

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
  2. W

    GE2025 Babu Tale: Mimi sina Mpinzani Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Wapinzani hawaiwezi CCM

    "Katika jimbo la Morogoro Kusini Mashariki mimi ni mgombea pekee,wapinzani wamechimba,hii ni breaking news,mwenyewe nimeijua leo,wamechimba hawaiwezi CCM.Mimi shughuli yangu ni kumtafutia kura Mh. Rais Samia” Hamisi Shaban Taletale- Mgombea wa kiti cha Ubunge Jimbo la Morogoro Mashariki Kusini
  3. Mindyou

    GE2025 Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Jafari Milango achukua fomu kugombea jimbo la Babu Tale, Morogoro Kusini Mashariki

    Wakuu, Jafari Milango (kushoto) amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Milango amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Julai Mosi, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro mkoani humo, Michael Bundala.
  4. Just Pray

    PreGE2025 Farid Amanzi atangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Dar es Salaam Mwaka 2021/2022. Farid Amanzi ametangaza Nia ya Kuchukua FOMU ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambalo Kwa Sasa lipo chini ya Mheshimiwa...
  5. Just Pray

    GE2025 Mhandisi Jafari Hegga achukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
  6. Mindyou

    PreGE2025 Babu Tale: Kuna vijiji 64 kwenye jimbo langu na hakuna kijiji ambacho hakina umeme

    Wakuu, Najua kuna wadau humu mnaishi huko Morogoro, hebu tuambieni kila kijiji kwenye jimbo la Babu Tale kweli kina umeme?
Back
Top Bottom