Kada wa Chama cha Act-Wazalendo Monalisa ndala amesema kwa maoni yake Rais Samia anafanya vizuri kuliko hata wanaume akibainisha kuwa wasiokubali kazi zake wanaendekeza mfumo dume. Monalisa Ndala, ameyasema hayo kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV.
Huyu bado ni mwanachama wa ACT...
Kada wa Act-Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa chama hicho kumkosa mgombea urais na wanaopaswa kulaumiwa ni katibu wa chama na mwanasheria wa chama, huku akibainisha kuwa vyama vyote vitanufaika kwa chama hicho kumkosa mgombea urais.
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli."
Soma > Mpina na T-Shirt yenye picha ya...
Kada wa ACT- Wazalendo Monalisa Ndala, amesema aweza kufika ofisi za chama za mkoa wa Dar lakini sio makao makuu. Kwa hali ilivyo sasa huwezi kujua watu wana hasira na mimi kwa kiasi gani,” Ndala, ameyasema hayo wakati akizungumza na kipindi cha One on One cha wasafi Tv.
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha...
Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala.
Monalisa ameingia kwenye mzozo na chama chake baada ya kupinga uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia...
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa.
Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
Nimpongeze sana Monalisa Ndala umeonyesha uzalendo na chama chako na na sisi tunakuombea kwa Mungu atakulinda wasikufanyie ubaya wasikutishe lakini kuwa makini kwa sababu wameumia sana kwa sababu kitendo kile kimefanikiwa
Mtakumbuka kuwa mimi Monalisa Joseph Ndala niliwasilisha malalamiko Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikionesha dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama chetu cha ACT-Wazalendo.
Ninafuraha kuwaarifu kuwa baada...
"Kilichonisukuma kupinga uhalali wa Luhaga Mpina kugombea Urais katika Chama cha ACT WAZALENDO ni kanuni. Kwenye ukurasa wa 23/ 16, inaonyesha sifa za wagombea ndani ya Chama. Wagombea Urais. Awe mwanachama wa ACT WAZALENDO kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya Tarehe ya mwisho wa wagombea wa...
Siku moja baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Ndala kumwandikia barua katibu Mkuu wa chama hicho akipinga kuteuliwa kwa Luhaga mpina kuwa mgombea urais, chama hiccho nacho kimemjibu.
Barua hiyo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.