Kada wa ACT-Wazalendo Monalisa Ndala amemwahidi mtangazaji Charles William kiasi chochote cha fedha atakachotaka iwapo Luhaga Mpina hatarejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2026.
Ahadi hiyo imetolewa na Monalisa Ndala, Kada wa ACT Wazalendo ambaye anapinga uamuzi wa chama hicho kumteua Mpina...
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa
Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama...
Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi kwa ujumla na kubaini kuwa umepoteza sifa za kuwa Mwanachama halali na hai wa Chama cha ACT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.