Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...