mohammed dewji

Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji (born 8 May 1975) is a Tanzanian billionaire businessman and former politician. He is the owner of MeTL Group, a Tanzanian conglomerate founded by his grandmother, developed by his father in the 1970s. Dewji served as Member of the Tanzanian Parliament for Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 2005 to 2015 for his home town of Singida. As of October 2022, Dewji has an estimated net worth of US$1.5 billion, Africa's 17th richest person and youngest billionaire. Dewji was the first Tanzanian on the cover of Forbes magazine, in 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. KUMBUKIZI | Mo Dewji: Tatizo letu kubwa Tanzania ni Urasimu, lazima tupate viongozi wakufanya maamuzi

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  2. Aione Mohammed Dewji kuhusu mapendekezo ya kimkakati, Audit na maboresho ya benchi la ufundi Simba SC

    Heshima kwako Mohammed Dewji Pole na majukumu ya kuijenga Simba SC. Ili Simba irejee kwenye utawala wa soka la Afrika na Ligi ya NBC, nimefanya uchambuzi wa kina (Squad Audit) kufuatia matokeo ya hivi karibuni yasiyoeleweka ikiwemo sare ya 2-2 dhidi ya Esperance mwenye ligi ya mabingwa na mechi...
  3. MO Dewji: Tangu mwaka 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC

    Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amesema dhamira yake ya kuijenga Simba kuwa klabu bora barani Afrika haijabadilika, huku akibainisha kuwa tayari amewekeza zaidi ya Sh bilioni 87 ndani ya klabu hiyo tangu mwaka 2017. Akizungumza kwa njia ya video leo jijini Dar es...
  4. Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
  5. Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
  6. Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  7. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…