mohamed sinwar

Mohamed Salah al-Dalou (Abu Salah; Arabic: محمد صالح الدلو; 22 November 1968 – 15 October 2023) was a Palestinian head of the Palestine Table Tennis Federation (PTTF). He had also worked in the Palestinian Supreme Council for Youth and Sports, the Palestinian Football Association, and Mujama al-Islamiya.
On 15 October 2023, he, his wife and children were killed during an airstrike attack fired by Israeli Air Force on his home located in Tel al-Hawa, southwest of Gaza City, during the Israeli response to the 2023 Hamas attack on Israel. Many official bodies mourned him, including the International Table Tennis Federation, the Palestinian Supreme Council for Youth and Sports, the Egypt Table Tennis Federation, the Jordan Table Tennis Federation, and others. The Arab Table Tennis Championship, which was scheduled to be held in Beirut at the end of November 2023, was postponed after he was killed.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Hatimaye Hamas watangaza kifo cha Mohamed Sinwar!!!

    Baada kuficha kifo cha Gaidi Mohamed Sinwar kwa muda mrefu leo hii Hamas wameamua kusema wazi kuwa Gaidi Mohamed Sinwar ndugu yake na Yahya Sinwar alikufa huko Gaza!!! Hii inadhibitisha wazi kuwa Wafuga Midevu na Majini wanaficha sana vifo vya magaidi wenzao hasa wanapouwawa na Majeshi shupavu...
  2. Echolima1

    Iz al-Din al-Haddad aliyechukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye leo Ameangamizwa bila huruma!

    kuna habari zimeenea sana hapa Tel Aviv kuwa Iz al-Din al-Haddad aliye chukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye ameangamizwa alipokuwa kwenye maficho yake, Habari hizi zimeenea sana tv na radio zinazungumzia sana shambulio lililoutoa uhai wa Gaidi huyo huko Gaza. Makumi ya bunker bunkers zilitumika...
  3. Echolima1

    Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!! Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
  4. Echolima1

    Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

    Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel. Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan...
  5. Echolima1

    Sasa rasmi kiongozi Mwandamizi wa Hamas Mohamed Sinwar aliangamizwa

    Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi...
  6. Echolima1

    Waliomsindikiza Mateka Edan Alexander kumkabidhi kwa Red-Cross nao wameangamizwa walikuwa na Mohamed Sinwar!!

    Fyeka fyeka ya Israel huko Gaza imewakumba viongozi wengi wa Hamas akiwemo msemaji Mkuu wa Magaidi hao!!!
  7. Echolima1

    Je akina nani walisaidia na kufanikisha zoezi la kumwangamiza Gaidi Mohamed Sinwar huko Gaza??

    Na je Israel ilijuaje lini na wapi pa kumtoa Mohammed Sinwar na viongozi wengi waandamizi waliobaki wa Hamas? Unakumbuka siku kadhaa zilizopita wakati watu wawili kwenye picha hapo chini walipojisalimisha kwa majeshi ya Israel kusini mwa Gaza? Hapo ndipo msemo wa Samaki kajikaanga kwa mafuta...
  8. Echolima1

    Shambulio lililo katiza maisha ya Gaidi Mohamed Sinwar huko Gaza ndani ya Hospitali ya Nasser

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz: Hatutaruhusu shirika la kigaidi la Hamas kutumia hospitali na vituo vya misaada ya kibinadamu huko Gaza kama vituo vya makazi na amri za ugaidi. Tutawafuata viongozi wake na kuwapiga kwa nguvu zote kila inapobidi. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mimi...
  9. Mlaleo

    Je Mohamed Sinwar kaingia mtegoni? kuna uwezekano keshadedishwa akiwa Hospital

    IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post' Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas. IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
  10. U

    Jeshi la Israel latangaza msako mkali wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aliyeuawa Oktoba 17, 2024 Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limetangaza kuwa msako wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas aliyeuawa jana unaendelea kwa kasi kubwa. Taarifa zaidi kumuhusu Mohamed Sinwar hapo chini kwa kimombo: Pia soma > Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa...
Back
Top Bottom