Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi.
Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo.
Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
Leo hii tumefikia hatua ya kufanya mkutano na wanahabari ili kuwaeleza jinsi mlivyoshiriki kwenye mkutano wa AU
Eti tathmini ya ziara ya mkutano uliofanyika Ethiopia, kumbe alienda kufanya ziara huko? Basi sawa
Kama haitoshi mkaona muwe wasemaji wa viongozi wa Nchi za Africa, eti wamempongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.