chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA.
Wakuu,
Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA...
Wakuu!
Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya pesa lakini hawakupewa pesa zao, walalamikaji wanasema fedha zao zimeliwa na waliosimamia mgao.
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.