mkurugenzi wa uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani: Waandishi wa Habari tendeni haki wakati wa uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amewakumbusha wanahabari wajibu wao wa kuhakikisha vyama vya siasa na wagombea wanapata nafasi ya kufikisha ujumbe wao kwa wapiga kura katika kipindi cha kampeni. Aidha, Bw. Kailima amewataka wanahabari kutoa taarifa sahihi kwa umma na kuepuka...
  2. Just Pray

    GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: Changamoto ya mawakala tumejirekebisha

    Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025. Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Mkahakiki taarifa zenu, daftari lipo wazi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima ametoa wito kwa wananchi kujitokeza na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga kura awamu ya Pili, ambapo tayari zoezi hizo limeanza katika baadhi ya mikoa nchini. Kupata matukio na taarifa zote...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Ni kosa Kisheria kumiliki Kadi zaidi ya moja ya Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa kitambulisho kimoja cha mpiga kura. Kailima amefafanua kuwa, ikiwa kadi ya mpiga kura imeharibika kwa namna...
  5. McLaren

    PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Tume ilikosea kusema CHADEMA haina haki ya kushiriki kwenye Uchaguzi. Kailima ajitokeze hadharani kufuta kauli yake

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima alisema kuwa CHADEMA...
Back
Top Bottom