mkurugenzi wa tbc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Mkurugenzi wa TBC Ayub Rioba: Rais na CCM wataonekana sana kwenye habari za TBC kwa sababu watu wengi wanataka kujua wanafanya nini

    Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameitaka jamii kutambua kuwa shirika hilo ni mali ya umma na si mali ya chama chochote cha siasa. Hata hivyo, amesisitiza kuwa ni muhimu kufahamu kuwa kwa chama kilichopo madarakani pamoja na serikali yake...
  2. Keynez

    Inakuwaje Mkurugenzi wa TBC mpaka sasa yupo kazini?

    Jana Waziri Mkuu Feki anatoka anatoa takwimu za uharibifu wa mali uliofanyika kipindi cha uchaguzi. Ametaja magari ya serikali, magari binafsi, vituo vya polisi, nk. Tuache kwanza hoja ya usahihi wa hizo takwimu ambazo zinatia shaka. Cha kushangaza wakati yote hayo yanatokea, kituo cha taifa...
Back
Top Bottom