mkongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…