Inadaiwa kuwa mikojo ya Wamama Wajawazito imegeuka kuwa biashara kubwa huku mahitaji yake yakizidi kuongezeka
Bidhaa hiyo iliyogeuka kuwa lulu kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani Jijini Dar es salaam inadaiwa kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo tiba ya maradhi kadhaa.
MCL...