mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sakata la Dc mstaafu kumpiga mkewe na kumtishia bastola lachukua sura mpya watoto wake washikiliwa na polisi Simanjiro

    Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa. Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdogo wangu: Alioa akiwa na umri wa miaka 23 sasa anamkataa mkewe akidai yeye bado mdogo

    Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera. Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa. Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu. Miezi 6 tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…