Mwandishi wa habari nchini Uganda, Arnold Anthony Mukose, aliyeripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana mnamo Machi 29, 2026, amefikishwa mahakamani na kupelekwa gerezani kwa tuhuma za kutangaza habari za uongo kuhusu mke wa Rais, Mama Janet Museveni.
Mashtaka Yanayomkabili
Bwana Mukose (41)...
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo (76), ameonekana katika orodha ya Wagombea watano walioidhinishwa rasmi kugombea katika Uchaguzi wa Rais mwezi ujao.
Atakabiliana na Rais Alassane Ouattara (83), ambaye alichukua mamlaka baada ya yeye na mume wake wa zamani, Laurent Gbagbo...
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.
Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
Mke wa aliyekua Rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, alifika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili kilichodumu saa tano, lakini hakimu hajatoa uamuzi kuhusu ombi la waendesha mashtaka la kutaka kibali cha kumkamata kwa tuhuma za ufisadi
Anakabiliwa na mashtaka yanayoweza kumfunga miaka kadhaa...