Bodi ya Mamlaka ya bandari nchini imekubaliana kutohuisha mkataba wa kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ya TICTS na badala yake itatafuta muwekezaji mwingine. Chanzo cha taarifa kinasema pande hizo mbili zilishindwa kufikia makubaliano baada ya mkataba wa miaka 5 kufikia tamati na...