Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457
Hello,
Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi
Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali.
Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.