mitaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  2. A

    JamiiForums Tanzania RC Makalla, nunueni magari ya kufagia barabara; himizeni mama lishe kutumiia maji tiririka

    Hivi sasa barabara zetu za Dar es Salaam zina lami pamoja na Mifereji. Lakini naona michanga barabara ni mingi na wafagizi wengi wanamwagia huo mchanga kwenye hiyo mifereji. Hivyo ni vizuri mkanunua magari ya kufagia barabara na pili hiyo mitaro isafishwe. Maana la stand ya Mbezi na machinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…