Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto.
Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na...