misaada ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. balibabambonahi

    Nimewakumbuka sana maaskofu wa kanisa moja la mitume la Kenya

    Nilishangaa sana,askofu alivyotoa jicho la furaha wakati anapokea fuko la pesa. Makamu alisema kabisa kwamba fuba lile lilitoka kwa raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Nikamuona bwana Kunenge naye akasema wamemuongezea askofu na ng'ombe wa maziwa. Waumini walikuwa kwenye vifijo na...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia atoa milioni 200 ujenzi wa msikiti Tanga

    Wakuu, Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa! Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025? ===== Rais Samia amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 200 ikiwa ni ahadi...
  3. Don Gorgon

    PreGE2025 Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?

    Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani anaweza kusaidia kwa kutumia fedha ili kuhakikisha mambo fulani yanaenda vizuri. Wanaona kuwa huu ni...
Back
Top Bottom