Leo tarehe 16.6.2024 Katika zunguuka yangu nimefika eneo la majengo karibu na shule ya Secondari Legico Mbeya mjini. Nikakuta kuna umati wa watu nikasogea baada ya kusikia sauti za spika. Nilipofika nikawakuta watu wengi tu, sikutaka kuuliza kuna nn maana macho ninayo masikio ninayo. Nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.