mimi mgeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  2. Mimi mgeni naombeni mnipokee

    Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa. Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…