Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi.
Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile?
Kwamba tuwapongeze sasa kwa lipi kwenye kuamua kuanza kuiheshimu katiba?
Nani asiyejua walijua nini yalikuwa...