Jamani huku mitaani hakupoi, kila kukicha hukosi nyumba yenye maandishi makubwa mekundu yenye lugha kali "HII NI MALI YA BANK INAUZWA".
Jamani, watu labda hawana elimu ya mikopo ya Bank au serikali imezembea kutoa elimu ya mikopo kwa watu wake?
Na wengi wa waathirika wa mikopo hii na...
Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva.
Hayo masaa 48, imefika mwezi na ushee Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.