Nilishawahi kumuuliza mama swali, asubuhi moja kupindi bado mdogo, alikuwa anakanda unga wa ngano kwa ajili ya biashara yake ya chapati, muda mfupi kabla sijaenda shule.
Swali lilikuwa kuhusu "vyanzo"
“Ni suala pana, Helena,” alisema huku akiniangalia kwa macho ya kunipima, “Unataka kujua...
Wakuu Heshima mbele.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu
Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...