mifupa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbagala wapelekewa huduma za kibingwa za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) yapeleka kliniki maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ya mifupa mikavu inawadia

    Peace be upon you Ni miaka 61 imepita sasa, tangu Tanganyika kujipatia uhuru wake kutoka kwa mkoloni. Nchi iliyobarikiwa bahari, madini, mito, maziwa, ardhi nzuri ya kilimo, maliasili, hali ya hewa safi na uoto mzuri wa kiasili wa kitropiko (Tropical type of vegetation). Lakini bado mali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…