miezi miwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  2. Eritrea: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki aachiwa kizuizini baada ya miezi miwili

    Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa hilo limekuwa likisisitiza kumalizika kwa mfumo wa utawala wa chama kimoja Nchini Eritrea na kuminywa...
  3. P

    Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

    Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi, Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine! Afya yake imeshachokonolewa, Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!! Muda utaongea!
  4. K

    Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  5. Aliondoka na kuniacha na mtoto wa miezi miwili

    Wakuu mmebarikiwa Sana na MUNGU WA MBINGUNI. Imepita miaka sasa niliwahi kuishi na mwanamke mmoja muha mwanamke jeuri, matusi, kiburi, uchafu, ujuaji sijampata ona, harakati ndani ya familia, kutaka kunitawala. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha yaani niliondoka home kabisa nikaanza...
  6. Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

    Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…