michuano ya afcon 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Patrice Motsepe akiri kuwepo kwa ukosefu wa imani uadilifu wa CAF asikitishwa na Matukio fainali AFCON 2025

    Soka la Afrika bado linakumbwa na changamoto za ukosefu wa imani na maswali kuhusu uadilifu wake, amesema rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, Jumatano, baada ya Senegal kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hata hivyo, alitetea uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya...
  2. M

    Wachezaji wa Taifa Stars walitaka kuvunja Amani siyo kitu kizuri kabisa

    Niseme kwamba sijapendezwa na wachezaji wa Tanzania pamoja na benchi la ufundi kutaka kuvunja Amani Refa kachezesha kwa Amani wanataka nini tena? Kuandamana, kwa lipi? Eti kudai haki, haki gani hiyo? Wasubirie mpaka miaka ijayo hakutakuwa na nyunywinyi wala nyunywinyi
  3. PostGE2025 CAF waandika: Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi, picha ya Msuva akishangilia goli

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi." Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…