Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Akiongea baada ya ibada ya Jumapili iliyopita, Mikanjuni jijini hapa, Kihali alisema anatoa wito kwa wadau wa amani na serikali kwa ujumla wake...