Leo mama Samia na Rais wa JMT ametimiza miaka 4 tangu alipoapa kuiongoza Nchi ya 🇹🇿 19-03-2021 akiweka historia kama Rais wa kwanza Mwanamke.
Katikati ya mashaka yaliyokuwepo Sasa yamegeuka kuwa Neema na mafanikio makubwa katikanya ja zote za Uchumi.
Sio tuu kwamba Samia amefaniliwa kwenye...
Mkurungenzi wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), Mavere Tukai amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu amefanya mapinduzi makubwa ya uwekezaji katika sekta ya afya na kuiweka nchi katika viwano vya kimataifa husasani katika utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD)
Tukai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.