KATI YA UKWELI NA UKIMYA,MIAKA MITANO (5) TANGU KIFO CHA John Pombe Joseph Magufuli
Magufuli, umelala ndio,Na sote tunajua hautoamka tena.
Lakini historia haifi pamoja na mtu bali inaishi,inauliza na inaandika.
Ni kweli hatutakusahau,sio kwa sababu ulifanya mema makubwa kiasi cha kufuta kila...