Walipopanda jukwaani Irene Uwoya, Kajala, Aunt Ezekiel na Jaqline Wolper waliwekewa ule wimbo 'nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe'...kweli baada ya pale nawaona hawa kama wakongwe wenzangu.
Kweli wamekula chumvi na sio wadogo kama wanavyotudanganya bali wanasaidiwa na filters na makeups