Rose Muhando (born July 29th, 1976) is a Tanzanian gospel singer, songwriter, and choreographer. She is regarded as the Greatest Gospel Singer of All Time in East and Central Africa with popular songs like Mteule Uwe Macho, Yesu Nakupenda, Nipishe Nipite (Nakuuliza Shetani), Nibebe, Utamu Wa Yesu, Ndivyo Ulivyo, Hatumo, Wololo, Secret Agenda, Nipe Number (Number), among others. She has been crowned by the media as the queen of gospel music in East and Central Africa.
Na Witness Masalu, WMJJWM-Dodoma
Serikali yaendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote nchini hususani wanaoishi katika mazingira magumu wanafikiwa na kupatiwa huduma stahiki.
Hayo yamebainishwa na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na...
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu β Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA β Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...