mgonjwa wa kisukari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Vladmir

    Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  2. BENEDICT ISEME

    Mashine za kupima sukari mwilini - GLUCOMETERS

    Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETER Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo...
  3. BENEDICT ISEME

    Mashine za kupima sukari mwilini - Glucometers

    Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
  4. M

    Mrejesho: Mgonjwa wangu wa sukari anaendelea kuzidiwa

    Habari wakuu Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip...
Back
Top Bottom