mgombea urais tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Askofu Kadutu: Luhaga Mpina na Salum Mwalimu bado hawafiki Viwango vya Urais tunavyohitaji. Tusilete utani tukaumia Miaka 5 ijayo

    Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema; "Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye...
  2. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Back
Top Bottom