mgombea urais chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 Salum Mwalim atoa ahadi ya kukataza kupiga marufuku magulio akishinda Urais

    Mgombea Urais wa Chama Cha Ukombozi wa Umma, Salum Mwalim amesema akipewa ridhaa ya kuongoza Tanzania ataboresha miundombinu ya masoko ya vyakula Dar es Salaam na kujenga masoko ya kisasa ili kusaidia wafanyabiashara kukuza mitaji yao Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais CHAUMMA amnadi mgombea udiwani ACT Wazalendo

    Katika hali isiyotarajiwa na ya kuvutia katika medani ya siasa za upinzani nchini, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amemnadi hadharani mgombea udiwani wa chama cha ACT-Wazalendo, Charles Machemba, katika Kijiji cha Kata...
  3. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais CHAUMMA aanza ziara ya kusaka wadhamini

    Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na mgombea mwenza wake, Devotha Minja, wakiongoza kazi ya kuandikisha wadhamini wao leo mkoani Lindi. Mgombea huyo wa CHAUMMA ameanza leo ziara katika mikoa mbalimbali ya kuomba udhamini wa kupeperusha bendera katika nafasi...
  4. D

    GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

    Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Back
Top Bottom