mgodi wa geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Mgodi wa Geita Gold Mineumeingiza faida Usd milioni 151, halafu serikali ikalipwa Tsh bilion 290.9 mwaka 2025 😃

    Hii nchi tutakufa kwa kushangaa. Geita Gold Mine ni kampuni ya mama ya mgodi, ambayo ni AngloGold Ashanti. Kampuni hii hutoa ripoti za kifedha za jumla, lakini faida ya mgodi wa Geita pekee. AngloGold Ashanti - Faida Jumla AngloGold Ashanti (ambayo ina mgodi wa Geita) ni kampuni kubwa ya...
  2. tonicimmobility

    Mgodi wa dhahabu Geita kuwalipa fidia wananchi kupisha uchimbaji

    Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML). Hatua inayoleta suluhu ya mgogoro wa ardhi...
Back
Top Bottom