Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026.
Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa...